Wakulima wa mahindi kupata mbegu za GMO
1 意见
• 29 十月 2022
0
0
嵌入
Fakty Jebać fałsz
13 订户
Wakulima wa mahindi humu nchini wataweza kupata mbegu zilizozalishwa kwa kutumia teknolojia ya kisaki au GMO. Taasisi ya kitaifa kuhusu usalama wa bayoteknolojia inasema kuwa tayari mbegu za aina mbalimbali ya mahindi zimeidhinishwa. Mahindi hayo yatakuwa na uwezo wa kuhimili ukame, wadudu na magonjwa.
显示更多
脸书评论
SORT BY-
热门评论
-
最新评论