Wakulima kaunti ya Makueni wapata mafunzo kuhusu mbegu za GMO
0 المشاهدات
• 29 اكتوبر 2022
0
0
تضمين
Fakty Jebać fałsz
13 مشتركين
Wakulima kutoka kaunti ya Makueni wanapokea mafunzo kuhusu athari ya kilimo cha kisaki au teknolojia ya GMO na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Aidha wakulima wanashauriwa kupanda mbegu zinazoweza kuhimili ukame ili kupata mazao
أظهر المزيد
تعليقات الفيسبوك
SORT BY-
أعلى تعليقات
-
أحدث تعليقات