| KILIMO BIASHARA | Wakulima wa mahindi kupata mbegu za GMO mwaka ujao
1 意见
• 29 十月 2022
0
0
嵌入
Fakty Jebać fałsz
13 订户
Wakulima wa mahindi humu nchini wanatarajiwa kupata mbegu zilizoimarishwa kupitia teknolojia ya GMO kuanzia mwezi Machi mwaka ujao. Hii ni kwa mujibu wa wanasayansi kutoka taasisi ya utafiti wa kilimo na mifugo KALRO, ambao wamemaliza majaribio kwa mahindi haya ya bayoteknolojia. Mengi ni katika makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara.
#DenisOtieno #KilimoBiashara
显示更多
脸书评论
SORT BY-
热门评论
-
最新评论