Kenya yaruhusu GMO | Serikali yaondoa marufuku ya uingizaji vyakula hivi
5 Visualizzazioni
• 29 Ottobre 2022
0
0
Incorporare
Fakty Jebać fałsz
13 Iscritti
Serikali ya Kenya hii leo imeondolea mbali marufuku dhidi ya vyakula vya kisaki au GMO, ikiruhusu kuingizwa nchini kwa vyakula na mimea iliyokuzwa kwa kubadilisha mfumo halisi wa jeni.
Kwenye taarifa baada ya kikao hicho kilichoongozwa na rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi, serikali inasema imezingatia ushauri na mapendekezo kutoka kwa asasi mbalimbali na kufikia uamuzi huo ambao sasa unatoa idhini kwa wakulima kufanya kilimo cha mahindi na vile vile pamba ya kisaki.
Mostra di più
Commenti su Facebook
SORT BY-
I migliori commenti
-
Ultimi commenti