Faida na hasara za mbegu za kisasa za GMO
1 Visualizzazioni
• 29 Ottobre 2022
0
0
Incorporare
Fakty Jebać fałsz
13 Iscritti
Pengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza.
GMO ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni.
Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au bakteria na kwa kawaida hufanywa ili kutambulisha sifa inayohitajika katika kiumbe, kama vile matunda makubwa au kustahimili ukame.
Mwanahabari Paula Odek anatufafanulia zaidi
#bbcswahili #kenya #gmo
Mostra di più
Commenti su Facebook
SORT BY-
I migliori commenti
-
Ultimi commenti