Kinara wa Azimio azidi kukosoa serikali kwa GMO
43 Visningar
• 29 Oktober 2022
0
0
Bädda in
Fakty Jebać fałsz
13 Prenumeranter
Kinara wa azimio la umoja One Kenya Raila Odinga hii leo ameikosoa serikali ya William Ruto, kuhusu uamuzi wa kutoa idhini ya matumizi na upanzi wa vyakula vya kisaki yaani GMO
Katika taarifa iliyochapishwa hii leo, Odinga alimsuta rais kwa kupatia kijicho suala la ukame nchini, huku akidai kuwa matumizi ya vyakula hivyo vya GMO huenda ukaleta madhara zaidi kuliko faida, haswa wakati huu ambapo taifa la Kenya linakumbwa na baa la njaa
Visa mer
Facebook-kommentarer
SORT BY-
Toppkommentarer
-
Senaste kommentarerna